Dhamira

Utandawazi

Utanzu

Hadithi fupi au novella ya maneno yasiyopungua 1000  wala kuzidi 3000

Maneno yasiyopungua

0

Maneno yasiyozidi

0

Lugha

Kiswahili

Vigezo

Mwisho wa kupokea hadithi ni tarehe 28 February 2017

TEHAMA imerahisisha mahusiano na mawasiliano na kuifanya dunia kuwa kama ‘kijiji’. Tumia lugha nyepesi, fasaha, yenye visa, wahusika na vionjo vya kisanii kuandika hadithi fupi. Zingatia jinsia na kuonesha badala ya kuhubiri. Si lazima utumie neno‘UTANDAWAZI’ katika hadithi yako.

Tuma hadithi

Andika na Soma — SOMA
S.L.P 4460,
Dar es Salaam,
Tanzania.

Tarehe ya  Mwisho kupokea hadithi

0
0
0
Days
0
0
Hrs
0
0
Min
0
0
Sec