Category Archives: Andika na Soma

Tone la Damu na Hadithi Nyingine

Tone la Damu na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi kumi (10) bora za mzunguko wa tano (5) 2018 wa Andika na Soma, shindano la hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania. Shindano hili lilibuniwa na kuendeshwa na Taasisi ya Usomaji na Maendeleo –Soma ili kuibua na kuchipuza vipaji vya uandishi wa kubuni […]

Shindano la hadithi fupi mzunguko wa tatu: Kifungilo yaibuka kidedea

Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa shindano la kuandika hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini – Andika na Soma, linaloendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma chini ya udhamini wa ubalozi wa Denmark  kimefanyika mwishoni mwa wiki tarehe 14/10/2016. Katika tukio hilo mwanafunzi Eliana Ludovick Swai wa shule ya sekondari ya […]

Warsha ya Uboreshaji Kazi Shindano la Andika na Soma Inaendelea

Zimesalia siku mbili kuelekea kwenye kilele cha mzunguko wa tatu wa shindano la kumpata kinara wa hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania maarufu kama Andika na Soma linaloratibiwa na kuendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo (Soma). Mpaka sasa washindi kumi bora wamepatikana na wanaendelea na warsha kwaajili ya kuwajengea uwezo ili waweze […]

Thubutu Facilitators Workshop

Scope The workshop took place on Saturday August 6th, 2016 at Soma Book Café and lasted seven hours. It was led by the Soma Executive Director (female) and Project Manager (male) and was attended by 6 female facilitators using a pre-prepared Facilitators Guide (see Appendix A). Objectives To draw from personal experience and identify various […]

Soma literary Competition 2013/2014 on April 2014

ANDIKA NA SOMA-SHINDANO LA UANDISHI WA HADITHI FUPI Shindano la Hadithi Fupi kwa Shule za Sekondari linaratibiwa na Taasisi ya Usomaji na Maendeleo-Soma. Shindano hili hufanyika kila mwaka. Kuanzia mwaka 2014 kilele chake kitaangukia  siku ya vitabu duniani ambayo ni tarehe 23 Aprili au karibu na tarehe hiyo. Siku hii huadhimishwa duniani kote kwa matamasha […]

U-Wake Update: 6ths August Poetry Meet Up

Heyloe Ladies and Gents, We met again last Tuesday at Soma Book Cafe, we had four new members (Ngasuma, Esther, Eliya and Lisa) and together (Carol, Pauline, Kido) seven of us made the session. The theme was ‘The hand that feeds you’ we heard three poems on theme and two others. Namely ‘Lost in the […]