Category Archives: Soma Book Cafe

‘Kalamu Ndogo’

‘Kalamu Ndogo’ ni mfululizo mpya vitabu vya watoto vilizoandikwa na watoto chini ya Jukwaa letu na Kiota cha Simulizi cha Watoto na Vitabu. Kiota hiki ni nafasi ya watoto ya kulea vipaji na kujenga stadi za uandishi, simulizi ndani ya Mkahawa wa Vitabu Soma. Vitabu hivi vinatokana na utafiti wa majaribio wa jinsi ya kuwawezesha […]

Soma yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Kivingine

Soma imetumia jukwaa lake la Gulio la 5 la Vitabu/Book Bazaar la robo ya kwanza ya 2020 lililofanyika tarehe 07/03 kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani na miaka 25 ya Mkutano wa Beijing. Kulikuwa na Kongamano, Utambaji wa Mashairi, Uzinduzi wa Vavagaa–kipindi cha TV ya mtandaoni juu ya masuala ya jinsia. Kama kawaida kulikuwa na usomaji […]

Soma Proudly Presents The Hadithi Zetu Challenge!

Readership for Learning and Development otherwise known as Soma has received funds from Women Fund Tanzania (WFT) to implement a Multimedia Feminist Storytelling, Documentation and Archiving project. This endeavor is meant to complement feminist herstory making efforts by the Wanawake Historia Yetu-Fahari Yetu Coalition coordinated by the Tanzania Gender Networking Programme (TGNP), as a platform […]

Valentine’s Day with Books at Soma

Uongozi wa Soma Mkahawani unapenda kuwashukuru wote waliojumuika nasi kwenye siku ya wapendanao na vitabu iliyofanyika tarehe 14 Februari 2020. Tulibamba! Soma management would like to thank all those who joined us on Valentine’s Day with Books event held on 14 February 2020. We had a fantabulous evening didn’t we?

Wanawake: Historia Yetu Fahari Yetu

Kikao cha mandalizi ya kuandaa mkutano wa kuchachua Mtandao wa Wanawake Historia Yetu Fahari Yetu na Jukwaa la Ukusanyaji, Simulizi, Uhifadhi na Uchapishaji wa Mchango wa Wanawake katika Historia na Utamaduni kwa njia zenye mvuto kwa wengi. Mahali ni Mkahawa wa Vitabu Soma na wajumbe  na washiriki ni Readership for Learning and Development –Soma; TGNP […]

Researching and archiving feminist stories- Inception meeting

Our First Internal Inception meeting before kick starting our new project “Researching and archiving feminist stories” Mkutano wetu wa kujenga uelewa wa pamoja kabla ya ukelezaji wa mradi wetu mpya “Utafiti na Uhifadhi wa hadithi za ukombozi wa Mwanamke”