Author Archives: Demere Kitunga

U-wake Poetry Meet Tonight

Mabibi na  Mabwana, Karibuni tena washairi na wapenzi wa ushairi usiku wa leo pale Mkahawa wa Vitabu Soma tughani, tuchambue na kufurahia tungo zetu. DHamira ya leo ni tungo tata kwani inadai tatizo. je, ni ufumbuzi, utatuzi au ni nini? shairi lako linaweza kulifummua fumbo hili…. kwa maelekezo ya njia, tazama ramani yako ya google […]

Walter Rodney: A Promise of Revolution–Dar Es Salaam Launch

To be launched in Dar Es Salaaam at the Mwalimu Nyerere Intellectual Festival, limited copies of “Walter Rodney: A Promise of Revolution” authored Clairmont Chung are available for sale at Soma Book Cafe, Plot No 53 Mlingotini Close Regent Street, in Regent Estate Mikocheni A. We will also have an exhibition table during the launch […]

Hadithi Hadithi with Rupal Ganatra

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) & Taasisi ya Usomaji na Maendeleo–Soma Maadhimisho ya siku ya wapendanao yaani Valentine kwa mrengo wa Kijinsia Kauli mbiu: “Wantanzania Tupendane Bila Aina Yoyote ya Unyonyaji, Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia” Maadhimisho ya siku ya wapendao yatafanyika katika viunga vya Mkahawa wa Vitabu Soma Book Café tarehe 16 February 2013, […]

Andika na Soma 2013… changia mada

Mzunguko wa pili wa shindano la fasihi, Andika na Soma 2013 unaanza na uchaguzi shirikishi wa dhamira. Ilipendekezwa na washiriki wa mzunguko wa kwanza 2012 kuwa inafaa washiriki wapate zaidi ya dhamira moja ya kandikia hadithi. Washindi 7 walioshiriki warsha ya uandishi wa hadithi fupi alialikwa kupendekeza dhamira  zinazowashughulisha zaidi vijana wa leo. Walipekeza dhamira […]