Author Archives: Matho Lilian

Majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita

Taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma inapenda kukutaarifu kwamba, kesho tarehe 24/03/2017 siku ya Ijumaa kuanzia saa kumi kamili jioni, kutakuwa na majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita cha Enock Maregesi. Kolonia santita ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na dawa za kulevya. Inazungumzia vita kali kati ya Tume ya dunia ya umoja wa […]

Shindano la Uandishi wa Hadithi Fupi kwa njia ya Mtandao

[fusion_text] Je wewe ni mwandishi? Kama ndiyo, unandoto za kuandika na ungependa kuona kazi yako ikishindanishwa na kushinda? Soma Book Café inakuletea shindano la uandishi wa hadithi fupi kwa njia ya mtandao. Andika hadithi yako juu ya mada yoyote utakayoichagua ukizingatia vipengele vya fani na maudhui. Maneno yasizidi elfu moja (1000). Shindano litafungwa tarehe 15/04/2017 […]

First Ever Swahili- English literary translation workshop at Soma book cafe

[fusion_text]Soma, in partnership with Commonwealth writers and English PEN organized a workshop on Swahili to English translation held in Dar es Salaam (soma book cafe) from 7-11 November 2016. The workshop was led by the literary translators Richard Mabala (a veteran writer in Tanzania) and Ida Hadjivayanis ( A lecturer of Swahili and translation from […]

Shindano la hadithi fupi mzunguko wa tatu: Kifungilo yaibuka kidedea

Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa shindano la kuandika hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini – Andika na Soma, linaloendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma chini ya udhamini wa ubalozi wa Denmark  kimefanyika mwishoni mwa wiki tarehe 14/10/2016. Katika tukio hilo mwanafunzi Eliana Ludovick Swai wa shule ya sekondari ya […]

Warsha ya Uboreshaji Kazi Shindano la Andika na Soma Inaendelea

Zimesalia siku mbili kuelekea kwenye kilele cha mzunguko wa tatu wa shindano la kumpata kinara wa hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania maarufu kama Andika na Soma linaloratibiwa na kuendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo (Soma). Mpaka sasa washindi kumi bora wamepatikana na wanaendelea na warsha kwaajili ya kuwajengea uwezo ili waweze […]

Danish Embassy Delegates Visit to Soma

Soma Book Café has, of recent, received visitors from the Danish Embassy. The Danish Embassy is the current donor for  Andika na Soma – Annual Short Story Competition for Secondary School Students after taking over from the defunct CKU.               The Visit was intended to allow the Embassy space to familiarise with the project and get updates […]