Author Archives: Matho Lilian

Wikiendi na Watoto…

Katika azma ya kujenga jamii imara hatuna budi kushiriki na kushirikiana na watoto wetu katika shughuli zinazochangia maendeleo yao na ya jamii kwa ujumla. Jumamosi ya 16/07/2016, Soma ikishirikiana na wanafunzi wa zamani “alumni” wa Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) ilifanikiwa kuandaa hafla ya kifamilia. Hafla hii iliwakutanisha watoto, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki […]

Klabu ya Usomaji Vitabu ya “Taswira” Yazidi kupaa.

Klabu ya Usomaji, inayotambulika kama Taswira “Book Club”, yenye maskani yake katika Mkahawa wa Vitabu, Soma, inaendelea kufanya vyema katika shughuli zake za kuhamasisha usomaji miongoni mwa WaTanzania. Soma, taasisi inayohamasisha usomaji nchini Tanzania, katika azma yake ya kuchagiza wanajamii kujijengea utamaduni wa kupenda kusoma na kuyasaka maarifa pamoja na Klabu ya Taswira zinaonekana kufanikiwa kwa […]

Celebrating Women Creative Agency in Liberation Struggles in Tanzania and Ireland

As part of the global commemoration of the Centenary of Ireland’s 1916 Rising, on 17/06/2016, Soma is collaborating with the Embassy of Ireland to celebrate the creative agency of women in the liberation struggles in Ireland and Tanzania. This is an acknowledgement and a remembrance of women’s rightful place in our collective histories and a […]