Soma Book Café Presents “Book Bazaar”


Theme: Nourish the mind
Join us and activities will be
Book Exhibition
Book Swapping
Poetry
Book Talks
Meet the Author
Face Painting and Storytelling for Children
Food & Drinks
Networking

Welcome all.

Saturday 27th April 2019 from 10:00 am to 5:00 pm at Soma book café.

Please contact us via info@somabookcafe.com or 0673014071

Soma Book Café Wanakuletea “Soko la Vitabu”


Dhamira: Rutubisha ubongo
Jiunge nasi kutakuwepo na
Maonyesho ya vitabu
Mabadilishano ya vitabu
Ushairi
Majadiliano ya Kitabu
Kutanana mwandishi
Uchoraji wa nyuso kwa watoto
Simulizi za hadithi kwa watoto
Chakula na vinywaji
Kutana na wapenda vitabu wenzako

Karibuni wote

Jumamosi 27/4/2019 kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 11 jioni hapa Soma book café.

Wasiliana nasi kupitia : info@somabookcafe.com au 0673014071