Majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita

By |March 23rd, 2017|Categories: Books, Events, Latest|

Taasisi ya usomaji na maendeleo - Soma inapenda kukutaarifu kwamba, kesho tarehe 24/03/2017 siku ya Ijumaa kuanzia saa kumi kamili jioni, kutakuwa na majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita cha Enock Maregesi. Kolonia santita ni

Comments Off on Majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita

Purpose Driven Life: Book Review

By |March 22nd, 2017|Categories: Books, Latest, Notice|

This spot is for reviews of books read and discussed during our monthly book clubs meetings  at Soma Book Cafe. The book clubs hosted and facilitated by Soma Book Cafe are: Charles Book Club, Taswira

Comments Off on Purpose Driven Life: Book Review

Shindano la hadithi fupi mzunguko wa tatu: Kifungilo yaibuka kidedea

By |October 19th, 2016|Categories: Andika na Soma, Books, Events, Latest|

Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa shindano la kuandika hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini – Andika na Soma, linaloendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma chini ya udhamini

Comments Off on Shindano la hadithi fupi mzunguko wa tatu: Kifungilo yaibuka kidedea

New tittles – children books

By |March 1st, 2014|Categories: Books, Latest, Notice, Soma Book Cafe|

Baraka Blackbird is bored with her home. Her friend the Mbuyu  tree tells her; Your wings are gift of freedom, so fly" she follows her friend's advice and explores the new lands, makes new friends

Comments Off on New tittles – children books

Kijiwe cha usomaji kwa watoto

By |January 25th, 2014|Categories: Books, Events|

Usomaji kwa watoto ni shughuli mojawapo  katika mikakati ya taasisi yetu Kuelekea kuwa na maktaba ya jamii. Hivyo basi mwaka jana tuliadhimia tuanzie nyumbani ambapo tulikuwa na kijiwe cha usomaji eneo la Mikocheni A. Mtaa

Comments Off on Kijiwe cha usomaji kwa watoto

New tittles available at soma bookcafe

By |January 25th, 2014|Categories: Books, Latest, Soma Book Cafe|

This book reproduces some of the leading judgements written by Justice Samatta. It highlights , in a critical fashion, some of the  high points of his beliefs and observations as embedded in his decisions and

Comments Off on New tittles available at soma bookcafe