Family Event/ Hafla ya kifamilia

Soma in collaboration with the UCT Alumni, brings you a Storytelling and Children focused Family event. The event will take place on Saturday 16th July, 2016 from 11:00 Am to 17:30 PM at Soma Book Café, located on Plot  53 Mlingotini Close Regent Street Mikocheni A, Dar Es Salaam.

With the aim to create a culturally meaningful platform for social cohesion and fun learning among children and their families; the event will feature children rights’ exhibition, storytelling, spoken word poetry, spelling bee contest, face painting, junior journo, Pan African embodiment and lots of fun. There will also be a Children Books Exhibition.

Participants’ contribution is TSH 25,000/= only, to cover food, drinks, snacks and inputs for the event, paid in advance in cash at Soma offices or sent through MPESA number 0757 199 682 or TIGO PESA number 0716 455 363 (name: Paulina George). The deadline for contribution receipt and confirming your participation is on 9th of July 2016.

For more clarification please call or send a text message to number 0718 484 142 (Lilian Matho) or 0767 210 362 (Gwantwa Kasamala).

DON’T PLAN TO MISS!

You ARE ALL INVITED

Soma #leisure #culture #learning

CHAPISHO LA KISWAHILI

Soma ikishirikiana na Umoja wa Wahitimu wa UCT, wanakuletea hafla ya kifamilia ya fasihi na watoto itakayofanyika Jumamosi Tarehe 16/07/2016 kuanzia saa 5:00 asubuhi hadi saa 11:30 jioni. Hafla hii itafanyika Mkahawa wa Vitabu Soma, Kitalu Na. 53 Mlingotini Close Mikocheni A, Dar Es Salaam.

Hafla hii inalenga kujumuisha Lengo maalumu la mkusanyiko huu ni Kuwawezesha watoto na familia zao kushiriki katika shughuli zinazochanganya elimu, fasihi na michezo kama. Pia kutakuwa na maonyesho ya vitabu vya watoto.

Mchango wa kufanikisha shughuli ikiwa ni pamoja na chakula na vinywaji ni  Shillingi 25,000 tu. Mchango huu unaweza kitolewa moja kwa moja kwenye ofisi za Soma au utumwe kwa MPESA namba 0757 199 682 au TIGO PESA namba 0716 455 363 (Jina ni Paulina George). Mwisho wa kupokea mchango na kuthibitisha ushiriki wako ni Tarehe 9/07/2016.

Kwa maelezo zaidi Piga simu namba 0718 484 142 (Lilian Matho) au 0767 210 362 (Gwantwa Kasamala).

USIPANGE KUKOSA.

NYOTE MNAKARIBISHWA.

Soma #Burudani #Utamaduni #Maarifa