Tangazo: Tunakaribisha Maombi kwa Wanaotaka Kushiriki Kwenye Warsha ya Wafasiri wa Fasihi ya Kiswahili–Kiingereza

[fullwidth background_color=”” background_image=”” background_parallax=”none” enable_mobile=”no” parallax_speed=”0.3″ background_repeat=”no-repeat” background_position=”left top” video_url=”” video_aspect_ratio=”16:9″ video_webm=”” video_mp4=”” video_ogv=”” video_preview_image=”” overlay_color=”” overlay_opacity=”0.5″ video_mute=”yes” video_loop=”yes” fade=”no” border_size=”0px” border_color=”” border_style=”solid” padding_top=”20″ padding_bottom=”20″ padding_left=”” padding_right=”” hundred_percent=”no” equal_height_columns=”yes” hide_on_mobile=”no” menu_anchor=”” class=”” id=””][one_third last=”no” spacing=”yes” center_content=”yes” hide_on_mobile=”no” background_color=”” background_image=”” background_repeat=”no-repeat” background_position=”left top” hover_type=”none” link=”” border_position=”all” border_size=”0px” border_color=”” border_style=”solid” padding=”” margin_top=”” margin_bottom=”” animation_type=”0″ animation_direction=”down” animation_speed=”0.1″ animation_offset=”” class=”” id=””][fusion_text]soma-logo-blue-swa[/fusion_text][/one_third][one_third last=”no” spacing=”yes” center_content=”yes” hide_on_mobile=”no” background_color=”” background_image=”” background_repeat=”no-repeat” background_position=”left top” hover_type=”none” link=”” border_position=”all” border_size=”0px” border_color=”” border_style=”solid” padding=”” margin_top=”” margin_bottom=”” animation_type=”0″ animation_direction=”down” animation_speed=”0.1″ animation_offset=”” class=”” id=””][fusion_text][/fusion_text][/one_third][one_third last=”yes” spacing=”yes” center_content=”yes” hide_on_mobile=”no” background_color=”” background_image=”” background_repeat=”no-repeat” background_position=”left top” hover_type=”none” link=”” border_position=”all” border_size=”0px” border_color=”” border_style=”solid” padding=”” margin_top=”” margin_bottom=”” animation_type=”0″ animation_direction=”down” animation_speed=”0.1″ animation_offset=”” class=”” id=””][fusion_text]english_pen_logo[/fusion_text][/one_third][/fullwidth][fusion_text]Taasisi ya Usomaji na Maendeleo—Soma kwa ushirikiano na Commonwealth Writers na English PEN wanapenda kuwaalika waandishi na wafasiri wabunifu kutuma maombi ya kushiriki kwenye Warsha ya Ufasiri wa Fasihi ya Kiswahili – Kiingereza, itakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Tarehe 7/11/2016 hadi Tarehe 11/11/2016.

Warsha itaongozwa na Richard Mabala Mwandishi mahiri wa riwaya, hadithi fupi na makala na Dr. Ida Hadjivayanis, Mhadhiri wa Kiswahili na ufasiri wa Chuo Kikuu SOAS Uingereza.

Washiriki wa warsha wafanya tafsiti ya pamoja ya hadithi fupi moja na shairi moja. Waandishi wa tungo hizo watakuweko kujibu maswali yao na kufafanua masuala yenye utata. Warsha hii itatoa fursa ya kushirikiana, kujifunza kwa pamoja na kubadilisdhana uzoefu. Kila mshiriki ataweza kupendekeza tafsiri kuntu ya dhana na hisia kutoka lugha na utamaduni wa Kiswahili kwenda Kiingereza na kujadiliana na wenziwe juu ya changamoto zilizomo katika kufanya tafsiri za aina hii. Washiriki wataweza pia kujifunza nadharia, mbinu za ufasiri na kujiimarisha katika fani hii.  Baada ya warsha, kila mshiriki atapewa kazi ya kutafsiri hadithi au shairi moja. Tafsiri hizi zichapishwa hapa Tanzania na Uingereza katika Mkusanyiko wa Fasihi ya Kisasa toka Tanzania/Afrika Mashariki.

Sifa za washiriki:     

Muombaji asiwe chini ya miaka 18. Awe raia wa Tanzania au nchi nyingine ya Afrika Mashariki.

Jinsi ya kushiriki:

Fomu ya maombi inapatikana kwenye tovuti ya Soma; bofya hapa unaweza pia kuipakua na kutuma kwetu kwa njia ya barua pepe kwenda: somabookcafe@yahoo.com.

Mwisho wa kupokea maombi: Tarehe 20/10/2016

Mrejesho:

Maombi yatapitiwa na jopo la waamuzi. Watakaokidhi vigezo watafahamishwa wiki moja kabla ya warsha kuanza.

Mahali:

Warsha itafanyika Mkahawa wa Vitabu Soma/Soma Book Café, Mlingotini Close, Kitalu Na. 53, Mtaa wa Regent, Mikocheni, Dar es Salaam.

 

Kutakua na msaada wa kifedha kwa wachache wanaotokea nje ya Dar es Salaam na watakachaguliwa kushiriki warsha.[/fusion_text]

8 thoughts on “Tangazo: Tunakaribisha Maombi kwa Wanaotaka Kushiriki Kwenye Warsha ya Wafasiri wa Fasihi ya Kiswahili–Kiingereza

 1. Daniel Benno Msangya says:

  Thanks for Soma/Soma Initiative, one of the best opportunity coming in East Africa (may be open than other opportunities) to enhance local and hopeful new talents in the blossoming industry of both composing and translation of books. My Organisation (African Rural Press in Action – ARUPA) has formed a team of young people – graduates in Kiswahili from the University of Dodoma who have for more than three years been suffering from unemployment opportunity in this industry. My request is that, should we use our Organisation to submit one application for participation in the November Translation workshop with a list of the applicants? We expect at least to apply for five participants. Doing so will ensure us in the long run to embark effectively in implementing our long term strategic plan geared towards Children, Women and Young People Literature Program. This team will be trained not only in composition but in translation as per instruction provided but later for sustainability of our program.
  Kindly I remain humbly looking forward to read from your highly consideration.
  Regards,
  Daniel Benno Msangya
  President of Arupa & Unpublished Author
  Dodoma

 2. Joshua Opili says:

  Ninashukuru kwa mpano huu mwafaka wa uandishi na ufasiri,ambao naamini utainua hadhi ya lugha mbili rasmi za Afrika mashariki,ambazo ni kiswahili na Kiingeza.Ningependa kushiriki ila changamoto nilio nayo ni kwamba ningali mwanafunzi wa mwaka wa pili katika kozi ya mawasiliano.Sijui kama naweza kupewa nafasi ili nichangamane na mwagwiji katika taaluma ya mawasiliano.Tafadhali mnitumie majibu katika barua pepe au tovuti yangu.Natumai kuasiliana nanyi hivi punde.
  Asanteni.

Comments are closed.