Mabibi na  Mabwana,

Karibuni tena washairi na wapenzi wa ushairi usiku wa leo pale Mkahawa wa Vitabu Soma tughani, tuchambue na kufurahia tungo zetu. DHamira ya leo ni tungo tata kwani inadai tatizo. je, ni ufumbuzi, utatuzi au ni nini? shairi lako linaweza kulifummua fumbo hili…. kwa maelekezo ya njia, tazama ramani yako ya google na maelezo yetu hapo chini.

Njia: pinda kulia mtaa wa pili kutoka kwenye taa za morocco–pale AAR. kisha kula kushoto pale suleni Sunrise, kisha kusoto tena pale Mlingotini Close. Fuata kibao cha Caribbean Kitchen. Iko ndani ya Mkahawa wa Vitabu Soma. Ni  nyumba ya mwisho wa kona hii kulia.


Hello Ladies and Gents,

Welcome once again to our poetry session at Soma Book Cafe. The theme is ‘Solutions’ sorry I didn’t mention this earlier. Feel free to bring a cushion (we’re seating on a mat)…

K. Rgds Coordinator Caroline

Directions: Second right from Morocco if you’re coming from town going to Victoria-AAR junction. Then it’s first left then again first left again at Mlingotini Close–follow the Caribbean Kitchen sign post. it is on Soma Book Cafe compound, last house on the right.