Tangi Letu (Hippo Series: Mazingira 1c)

Category

$5,000

In stock

In stock

Maji chafu ya mto yanamfanya Meno kuwa mgonjwa. Meno na Pembe wanaungana na wengine katika jamii yao kujenga kichungi kikubwa cha mchanga na kupata matangi ya maji.