U-wake Poetry Meet Tonight
Mabibi na Mabwana, Karibuni tena washairi na wapenzi wa ushairi usiku wa leo pale Mkahawa wa Vitabu Soma tughani, tuchambue na kufurahia tungo zetu. DHamira ya leo ni tungo tata kwani inadai tatizo. je, ni ufumbuzi, utatuzi au ni nini? shairi lako linaweza kulifummua fumbo hili…. kwa maelekezo ya njia, tazama ramani yako ya google […]