Wikiendi na Watoto…

Katika azma ya kujenga jamii imara hatuna budi kushiriki na kushirikiana na watoto wetu katika shughuli zinazochangia maendeleo yao na ya jamii kwa ujumla. Jumamosi ya 16/07/2016, Soma ikishirikiana na wanafunzi wa zamani “alumni” wa Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) ilifanikiwa kuandaa hafla ya kifamilia. Hafla hii iliwakutanisha watoto, wazazi, ndugu, jamaa na marafiki […]