Usomaji mitaani, viungani na vijiweni ndani ya mitaa ya Mikocheni ulioanzishwa na Soma kwa kushirikiana na wanafunzi wa Dar es salaam Independent Academy (DIA) inaendelea… … fuatilia taarifa na habari kwa picha hapa. maoni yanakaribishwa….
Habari zenu marafiki na mashabiki waUsomaji Zoezi ama shughuli zetu za usomaji katika kitongoji cha Michungwa zinaendelea kama kawaida na kila mmoja wenu anakaribishwa kushiriki kwa namna moja ama nyingine, ikiwa ni kimawazo au hata kushiriki moja kwa moja, kuchangia chochote kinachoweza kusaidia vijana hawa wachanga katika kitongoji hiki na viginevyo hapo baadaye kuweza kuujenge […]
Dear friends and fans of Soma!! Greetings from Soma. Its our pleasure to share with you a few images depicting our readership activities wiwth children living in slum areas of Michungwani in Mikocheni A.
To be launched in Dar Es Salaaam at the Mwalimu Nyerere Intellectual Festival, limited copies of “Walter Rodney: A Promise of Revolution” authored Clairmont Chung are available for sale at Soma Book Cafe, Plot No 53 Mlingotini Close Regent Street, in Regent Estate Mikocheni A. We will also have an exhibition table during the launch […]
Cucarachita na hadithi nyingine, maigizo, mashairi na mada kutoka kwa wawakilishi wa ‘klabu za jinsia za shule za: Yusuf Makamba; Loyola High School & Sinza Tower Secondary School ziliongoza mazungumzo juu ya Maadhimisho ya Siku ya Wapendanao kwa Mtazamo wa Jinsia.
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) & Taasisi ya Usomaji na Maendeleo–Soma Maadhimisho ya siku ya wapendanao yaani Valentine kwa mrengo wa Kijinsia Kauli mbiu: “Wantanzania Tupendane Bila Aina Yoyote ya Unyonyaji, Ubaguzi na Ukatili wa Kijinsia” Maadhimisho ya siku ya wapendao yatafanyika katika viunga vya Mkahawa wa Vitabu Soma Book Café tarehe 16 February 2013, […]
Mzunguko wa pili wa shindano la fasihi, Andika na Soma 2013 unaanza na uchaguzi shirikishi wa dhamira. Ilipendekezwa na washiriki wa mzunguko wa kwanza 2012 kuwa inafaa washiriki wapate zaidi ya dhamira moja ya kandikia hadithi. Washindi 7 walioshiriki warsha ya uandishi wa hadithi fupi alialikwa kupendekeza dhamira zinazowashughulisha zaidi vijana wa leo. Walipekeza dhamira […]
Announcing a début story telling session at Soma Book Cafe Storyteller: Rupal Ganatra Date: 16th February from 10.00 am ….in Collaboration with TGNP Watch this space for more details
Taasisi isiyoya kiserikali Inayouza vitabu na kuhimiza usomaji inatafuta Mhudumu wa Ofisi. Taasisi hii inafanya shughuli zake nchini Tanzania na ofisi zake ziko jijini Dar es salaam. Shughuli za Mhudumu wa Ofisi ni kama ifuatavyo: Kufanya usafi wa ofisi, duka la vitabu na mazingira ya ndani na nje ya ofisi. Kusaidia katika shughuli za […]