Our mission, journey, and the team behind our reading revolution.
Uani Is a backyard , often with an enclosure traditionally designated as women's space of exclusion and safety from men's spying eyes , It is often associated with homes. There
ua n (nyua), U-N-, mzizi mauaNyuma ya Nyumba, Uzio Context: Relating to Swahili Homes. Traditionally a backyard, often with an enclosure, and designated as women’s space (of ‘seclusion’ and ‘safety’
ua n (nyua), U-N-, mzizi mauaNyuma ya Nyumba, Uzio Muktadha: Inahusu nyumbani Uswahilini. Kimila, uani kawaida kuna uzio, na pametengwa kama sehemu maalum ya wanawake (ya ‘faragha’ na ‘salama’ mbali
Asteria Malinzi Baridi la Ufukweni, 2021Picha, video na sauti.(Video Poem was produced in collaboration with Ngollo Mlengeya) Umekwishaonywa. Mchecheto usiomithilika unaikodolea milele zote zinavyotiririka mithili ya vijito. Umekwishaonywa; kwa wepesi
watoto-na-vitabu-case-study-1102Download
Access tools, guides, and links to support your reading and learning journey.
Punda waliishi huru kabisa katika nchi yao wenyewe iliyoneemeka kwa kila hali. Waliishi na Malkia wao aliyeitwa Fari. Mvua zilinyesha vizuri. Punda walikula na kusaza. Mito, maziwa na mabwawa, yalijaa maji tele. Lakini haukupita muda punda mambo yaliwageuka. Je, kitu gani kilitokea kilichowanyang’anya punda uhuru wao huo na neema zao hizo na kuwafanya watumwa wa kazi zetu sisi binadamu leo hii? Je, yapo mafunzo tunayoweza kupata kutokana na yaliyowasibu punda? Utapata majibu ya maswali haya katika hadithi hii iliyo na mengi yaliyotokea, iliyoandikwa na Tololwa M Mollel, mwandishi wa vitabu vingi vya watoto.
© 2025 SOMA | All rights reserved | Powered by Exppo.