Our mission, journey, and the team behind our reading revolution.
Uani Is a backyard , often with an enclosure traditionally designated as women's space of exclusion and safety from men's spying eyes , It is often associated with homes. There
ua n (nyua), U-N-, mzizi mauaNyuma ya Nyumba, Uzio Context: Relating to Swahili Homes. Traditionally a backyard, often with an enclosure, and designated as women’s space (of ‘seclusion’ and ‘safety’
ua n (nyua), U-N-, mzizi mauaNyuma ya Nyumba, Uzio Muktadha: Inahusu nyumbani Uswahilini. Kimila, uani kawaida kuna uzio, na pametengwa kama sehemu maalum ya wanawake (ya ‘faragha’ na ‘salama’ mbali
Asteria Malinzi Baridi la Ufukweni, 2021Picha, video na sauti.(Video Poem was produced in collaboration with Ngollo Mlengeya) Umekwishaonywa. Mchecheto usiomithilika unaikodolea milele zote zinavyotiririka mithili ya vijito. Umekwishaonywa; kwa wepesi
watoto-na-vitabu-case-study-1102Download
Access tools, guides, and links to support your reading and learning journey.
$25,000
In stock
In stock
Katika sehemu ya kwanza na ya pili ya kitabu, Chachage anafanya uchambuzi wa kina wa mfumo wa utandawazi na soko huria. Makala yake juu ya zao la tumbaku na korosho yanadhihirisha wazi madhara yaliyowapata wakulima wadogowadogo katika soko huria, kwa maana nyingine, anaelezea juu ya uhuru waliopewa wafanyabiashara wanunuzi wa mazao ya wakulima bila usimamizi wa serikali. Kwa ustadi mkubwa, msomi wetu pia anachambua nafasi na hali ya wachimbaji wadogowadogo na jinsi wawekezaji katika migodi wanavyochuma rasilimali zetu bila kunufaisha nchi wala wazalishaji wadogo. Jambo hilo siyo geni. Hivi karibuni kumekuwa na mijadala katika magazeti ambayo inaonesha waziwazi jinsi wawekezaji katika madini wanavyonyonya nchi hii na kujilimbikizia utajiri. Hata hivyo, watawala huendelea kuegemea upande wao bila kujali ustawi wa jamii yetu
© 2025 SOMA | All rights reserved | Powered by Exppo.