Kutana na mariam ana miaka 12, tayari ni fundi wa magari. Ndoto yake ni kuingia kwenye mashindano ya kuendesha magari. Je ni vikwazo gani anakutana navyo? fuatilia kujua.. link ya
Kwa mara ya kwanza na kwa ushirikiano na Soma, Wanafunzi wa Dar es Salaam International Academy wakiwa pamoja na Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Mikocheni A katika shughuli za kijamii na usomaji katika makutano (King’oko Junction) karibu na shule hiyo.