Watoto na Vitabu Q3 03 08 2019

Watoto na Vitabu muhula wa tatu umeanza leo tarehe 03 Augusti 2019,Watoto walisoma kitabu kinachoitwa Biko’s New School waliweza kuandika hadithi fupi kutokana na kitabu hicho walichosoma.