Season’s Greetings From Soma.

We would like to register our appreciation for supporting our literary endeavors throughout the year and to assure you that Soma’s well stocked Bookshop, atmospheric Cafe and our Space that’s ideal for reading and discussing, will always be open for you – readers and lovers of literature. In spite of this year being very challenging

Soma Children’s Storytelling Hub online Fundraiser. Please have a look

https://www.generosity.com/education-fundraising/soma-children-s-storytelling-hub--2  

First Ever Swahili- English literary translation workshop at Soma book cafe

Soma, in partnership with Commonwealth writers and English PEN organized a workshop on Swahili to English translation held in Dar es Salaam (soma book cafe) from 7-11 November 2016. The workshop was led by the literary translators Richard Mabala (a veteran writer in Tanzania) and Ida Hadjivayanis ( A lecturer of Swahili and translation from

Shindano la hadithi fupi mzunguko wa tatu: Kifungilo yaibuka kidedea

Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa shindano la kuandika hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini – Andika na Soma, linaloendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma chini ya udhamini wa ubalozi wa Denmark  kimefanyika mwishoni mwa wiki tarehe 14/10/2016. Katika tukio hilo mwanafunzi Eliana Ludovick Swai wa shule ya

Andika Na Soma: Mzunguko wa Nne

Dhamira Utandawazi Utanzu Hadithi fupi au novella ya maneno yasiyopungua 1000  wala kuzidi 3000 Maneno yasiyopungua Maneno yasiyozidi Lugha Kiswahili Vigezo Mwisho wa kupokea hadithi ni tarehe 28 February 2017 TEHAMA imerahisisha mahusiano na mawasiliano na kuifanya dunia kuwa kama ‘kijiji’. Tumia

Warsha ya Uboreshaji Kazi Shindano la Andika na Soma Inaendelea

Zimesalia siku mbili kuelekea kwenye kilele cha mzunguko wa tatu wa shindano la kumpata kinara wa hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari Tanzania maarufu kama Andika na Soma linaloratibiwa na kuendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo (Soma). Mpaka sasa washindi kumi bora wamepatikana na wanaendelea na warsha kwaajili ya kuwajengea uwezo ili waweze

Danish Embassy Delegates Visit to Soma

Soma Book Café has, of recent, received visitors from the Danish Embassy. The Danish Embassy is the current donor for  Andika na Soma - Annual Short Story Competition for Secondary School Students after taking over from the defunct CKU. The guests  are Fin Poulsen the Counsellor and Mandolin Dotto Kahindi,  Programme Officer for Cultural Affairs at the Danish Embassy. They were

Tangazo: Tunakaribisha Maombi kwa Wanaotaka Kushiriki Kwenye Warsha ya Wafasiri wa Fasihi ya Kiswahili–Kiingereza

Taasisi ya Usomaji na Maendeleo—Soma kwa ushirikiano na Commonwealth Writers na English PEN wanapenda kuwaalika waandishi na wafasiri wabunifu kutuma maombi ya kushiriki kwenye Warsha ya Ufasiri wa Fasihi ya Kiswahili - Kiingereza, itakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Tarehe 7/11/2016 hadi Tarehe 11/11/2016. Warsha itaongozwa na Richard

Kinara Shindano la Hadithi Fupi – Andika na Soma

Nani kuibuka kinara wa shindano la hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari – Andika na Soma?

Vitali Maembe: Tone la Mwisho

Soma invites you this Saturday 20/08/2016 for a LIVE PERFORMANCE from VITALI MAEMBE and the Band - themed LAST DROP. Vitali Maembe is a renowned Tanzania artist who uses his ART to champion for change, activism and prevalence of justice through his music. In simple terms, Vitali is an ARTIVIST. He would be gracing the stage