March 2017

Majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita

By |March 23rd, 2017|Categories: Books, Events, Latest|

Taasisi ya usomaji na maendeleo - Soma inapenda kukutaarifu kwamba, kesho tarehe 24/03/2017 siku ya Ijumaa kuanzia saa kumi kamili jioni, kutakuwa na majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita cha Enock Maregesi. Kolonia santita ni

Comments Off on Majadiliano ya kitabu cha Kolonia Santita

November 2016

First Ever Swahili- English literary translation workshop at Soma book cafe

By |November 18th, 2016|Categories: Events, Latest|

Soma, in partnership with Commonwealth writers and English PEN organized a workshop on Swahili to English translation held in Dar es Salaam (soma book cafe) from 7-11 November 2016. The workshop was led by the

Comments Off on First Ever Swahili- English literary translation workshop at Soma book cafe

October 2016

Shindano la hadithi fupi mzunguko wa tatu: Kifungilo yaibuka kidedea

By |October 19th, 2016|Categories: Andika na Soma, Books, Events, Latest|

Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa shindano la kuandika hadithi fupi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini – Andika na Soma, linaloendeshwa na taasisi ya usomaji na maendeleo – Soma chini ya udhamini

Comments Off on Shindano la hadithi fupi mzunguko wa tatu: Kifungilo yaibuka kidedea

September 2016

Tangazo: Tunakaribisha Maombi kwa Wanaotaka Kushiriki Kwenye Warsha ya Wafasiri wa Fasihi ya Kiswahili–Kiingereza

By |September 20th, 2016|Categories: Events, Latest|

Taasisi ya Usomaji na Maendeleo—Soma kwa ushirikiano na Commonwealth Writers na English PEN wanapenda kuwaalika waandishi na wafasiri wabunifu kutuma maombi ya kushiriki kwenye Warsha ya Ufasiri wa

August 2016

Vitali Maembe: Tone la Mwisho

By |August 18th, 2016|Categories: Events|

Soma invites you this Saturday 20/08/2016 for a LIVE PERFORMANCE from VITALI MAEMBE and the Band - themed LAST DROP. Vitali Maembe is a renowned Tanzania artist who uses his ART to champion for change,

Comments Off on Vitali Maembe: Tone la Mwisho

July 2016

Wikiendi na Watoto…

By |July 25th, 2016|Categories: Events, Latest|

Katika azma ya kujenga jamii imara hatuna budi kushiriki na kushirikiana na watoto wetu katika shughuli zinazochangia maendeleo yao na ya jamii kwa ujumla. Watoto pamoja na wazazi wao katika masimulizi ya hadithi -

Comments Off on Wikiendi na Watoto…