Watoto na Vitabu Q3 2019

Leo kwenye kipindi cha Watoto na Vitabu, Watoto waliweza kufanya kazi mbalimbali za usomaji kama kusoma vitabu kwa ukimya, kueleza kwa ufupi kuhusu hadithi walizosoma kwenye vitabu, kusoma vitabu kwenye makundi pia waliendelea kuboresha hadithi zao walizozitunga hapo awali kwaajili ya kuchapishwa kwenye kijarida chao cha Muhula huu.

Today on Watoto na Vitabu session, Children were able to do various reading activities like reading books in silent, brief retelling the stories, reading and discussing in groups and to improve their previous stories for a chapbook at the end of the Quarter .