Watoto na Vitabu Session Q2 2019 06 29

Leo kwenye kipindi cha Watoto na Vitabu, watoto waliweza kueleza wiki zao (Jumatatu- Ijumaa) zilikuwaje kwa kifupi kwa kunong’onezana na jirani yake, walisoma kwa pamoja kitabu “Paulina’s visit” pia walikijadili kwa pamoja na baadae waliandika hadithi zao mpya kutokana na maudhui ya kitabu walichokisoma…