Category Archives: Platforms

Watoto na Vitabu Q3 10 08 2019

Watoto na Vitabu Jumamosi 10/08/2019 hapa  Soma Mkahawani walikitafsiri kitabu kinachoitwa ”Fati and The Old Man” kwa kiswahili na kuandika hadithi kwa ufupi kutoka kwenye kitabu hicho. This Saturday on Watoto na Vitabu program  @ Soma Book Café  translated the book  ‘Fati and The Old Man’ into Swahili and wrote a short story from the […]

Watoto na Vitabu Q2 27 07 2019 Final event

Watoto na Vitabu quarter 2 final event happened during the Book Bazaar on 27th July 2019. The event featured with the following activities: Book launch of children’s own chapbook titled, Bring back Peace and other stories; an anthology of stories they wrote during the quarter. Storytelling session facilitated by Gloria Ngowi. Certificate and award giving […]

Watoto na Vitabu Q3 2019

Leo kwenye kipindi cha Watoto na Vitabu, Watoto waliweza kufanya kazi mbalimbali za usomaji kama kusoma vitabu kwa ukimya, kueleza kwa ufupi kuhusu hadithi walizosoma kwenye vitabu, kusoma vitabu kwenye makundi pia waliendelea kuboresha hadithi zao walizozitunga hapo awali kwaajili ya kuchapishwa kwenye kijarida chao cha Muhula huu. Today on Watoto na Vitabu session, Children […]

Digital Storytelling Workshop

In partnership with The Creative Xchange from Botswana and Soma Book Cafe , Soma Book Cafe hosted Digital Storytelling Workshop facilitated by Letlhogonolo Godsave Christian Moremi from The Creative Xchange. Kwa ushirikiano wa The Creative Xchange kutoka Botswana na Mkahawa wa Vitabu Soma, Mkahawa wa Vitabu-Soma iliendesha mafunzo yaitwayo Digital Storytelling Workshop yaliyofanyika Mkahawa wa […]